25 January 2016

HUYU NDO MSANII HIP-HOP BONGO ALIYE KUWA NA KILO ZAIDI YA KG.150 NA SASA KABAKI NA KILO CHINI YA 70

Msanii Baghdad atakuwa sio mgeni kwako moja ya sifa ambazo zilikuwa zinamtambulisha vyema ni style ya michano yake pamoja na jinsi alivyokuwa mnene sana hapo awali....

"Zamani nilipokuwa na mwili mkubwa (mnene) nilikuwa napata shida sana kitandani wakati wa mechi ila sasa mbona shwariii" Alisema Baghdad kupitia Clouds Fm.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname