25 January 2016

MASKINI....Madawa ya Kulevya YAMMALIZA MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRIKA 'NANDO'....ACHAKAA VIBAYA .AWA OMBAOMBA CLUB

nandoo_full Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Ammy Nando khali yake yazidi kuwa mbaya yasemekana ni kutokana na matumizi ya dawa za kulevya ..Nando ambaye hupendelea kutembelea club za samaki samaki na eaters masaki nyakati za usiku huonekena akiwa anaranda randa maeneo hayo huku akiwa na bia mkononi ajabu zaidi hata muonekano wake umebadilika kutokana na kuwa rafu (mchafu) tofauti na alivyo kuwa amezoeleka nyakati za nyuma kwa usafi.
Hata hivyo mwaka juzi alisha wahi hojiwa na vyombo vya habari na  kusema 'Nimeacha Kutumia Madawa ya Kulevya, Ila Bagi ni Moja au Mbili kwa Siku'
Jamani ni matumaini yetu sote kumsaidia huyu kijana kwani khali yake ya sasa si nzuri hata kidogo. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname