31 January 2016

Ajali Mbaya Dar Yachukua Uhai wa Kijana Kelvin Kaloosh


Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.
Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu Hasa wasanii na watu maarufu hapa mjini
Binafsi nimesikitika Sana ;RIP Kelvin Kaloosh

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname