Baada ya kimya cha muda mrefu, HitMaker wa Chekacha maarufu kama Ali
Kiba anatarajia kuachia mkwaju mpya siku ya Alhamisi ya tarehe 4.
Katika Mtandao wa Instagram, Ali Kiba ameandika “#Lupela dance at Hollywood studios #WildAid project#Lupela official release – Feb 4, 2016.#KingKiba“.
No comments:
Post a Comment