Ali
Kiba na Victoria Kimani. KWA kipindi cha hivi karibuni mastaa wa muziki
wa Bongo Fleva wamekuwa wakichanua zaidi kimataifa kutokana na muziki
huo kukua.Japokuwa wengi wao wameshafanya kolabo na mastaa mbalimbali wa
Afrika hususan nchi za Kenya, Nigeria na Sauz lakini kuna mastaa
wengine nchini bado hawajafanya na hata wengine kuwa na shauku ya
kufanya kolabo na wasanii wa namna hiyo.

No comments:
Post a Comment