Na:George Binagi-GB Pazzo & Vesterjtz.
Mbunge
Mteule wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
Stanslaus Shing’oma Mabula, amewahakikishia Machinga Jijini Mwanza kuwa
wataendelea kufanya biashara zao katika maeneo mbalimbali ya katikati ya Jiji
hilo kama yaliyotengwa na uongozi wa halmashauri.
No comments:
Post a Comment