PICHA ZA SHOW YA WIZ KID AILYOTIKISA VIWAN JA VYA LEADERS CLUB
Ni
October 31, 2015 ambapo mkali kutokea Nigeria Wiz Kid alishea jukwaa
moja na Fareed Kubanda aka Fid Q, Diamond Platnumz na Christian Bella
kwenye show iliyopewa jina la Wiz Kid live in Dar iliyofanyika katika
viwanja vya Leaders Club.
Christian Bella akiwa jukwaani.
.
.
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz akitoa burudani ya nguvu.
.
.
.
.
Msanii kutokea Nigeria, Wiz Kid akitoa burudani.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Fareed Kubanda aka Fid Q akitoa burudani ya nguvu.
No comments:
Post a Comment