![]() |
| Ibrahim Lipumba |
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete
kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC ) kumtangaza mshindi wa
uchaguzi wa uliofanyika Zanzibar ili kuipusha nchi kuingia katika
machafuko.

No comments:
Post a Comment