BREAKING NEWS : MWANASHERIA MKUU AANZA KUWASHUGULIKIA VIGOGO WA UNGA
Taarifa
zinasema Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha
waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka
kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya,
aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji
na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea
mikopo.
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment