Kamanda wa Polisi,Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Bwana Charles Kenyela
Kamanda wa Polisi Charles Kenyela pichani amezungumzia kuhusu tukio la
msanii wa muziki wa Bongofleva wa kundi la N2N kuhusishwa na wizi wa
spea za gari la msanii mwenzake Ommy Dimpozi.Akizungumza na watangazaji
wa Powerjams(Anna Peter na Sam Misago) kwenye kipindi cha Powerjams East
Africa Radio kinachoruka Jumatatu mpaka Ijumaa alisema kuhusu ukweli wa
taarifa hizo na hatua zinachokuliwa kuhusu tukio hilo.....MSIKILIZE