Asha Manga anayesumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku.
Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini hapa, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku. Asha anayeishi na mama yake, Halima Juma baada ya baba yake mzazi, Juma Manga kufariki dunia, amekuwa akitumia muda mwingi kulia na kusema anakufa huku anajiona kufuatia kukosa kiasi cha shilingi milioni nne za matibabu.
Hali aliyonayo Asha Manga.
Akizungumza Ijumaa, Asha alisema: “Nikiwa kidato cha nne ndipo hili tatizo liliponianza, nilihisi ni jipu lakini kadiri siku zilivyosogea, uvimbe uliongezeka. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment