Waziri
Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye akipena
mkono na mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa.
Na Mwandishi Wetu
WAKATI
jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji la Dar kwa kuanza
kampeni za uchaguzi mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, nyuma ya pazia ya tukio
la Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye
kuhama chama hicho kwenda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeibuka
mambo kibao, Uwazi limebainishiwa.

No comments:
Post a Comment