| Meneja wa bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella
akikabidhi zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Sinza Bw. Kamara
Mambosasa katika hafla ya kuipongeza baa ya Mawela iliyopo Sinza
jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya
Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya
kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma
inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine nchini kama;-
Arusha, Mbeya, Mwanza,Moshi na Morogoro. |
No comments:
Post a Comment