Mpaka
sasa chama tawala,chama cha mapinduzi(CCM)kinaongoza katika katika
ubunge baada ya wagombea wake kupita bila kupingwa kwenye majimbo
yafuatayo
1.LUDEWA (Filikunjombe)
2.MLALO
3.BUMBULI (January Makamba)
4.PERAMIHO (Jenesta Mhagama)
5.NANYAMBA
Kwa
lugha nyingine wagombea wa CCM majimbo tajwa hapo juu wanasubiri kura
ya ndio au hapana na kuapishwa since they are only option
available,,,mpaka sasa tayari CCM ina mtaji wa majimbo matano kibindoni.
Lakini
pia kuna kata kadhaa ambazo tayari CCM (labda na UKAWA) imeshapita bila
kupingwa,hivvyo unaweza kushare kinachoendelea jimboni kwako au kwenye
kata yako kama CCM au UKAWA wanepita bila kupingwa kwa kucomment hapo
chini.
Tutaendelea kujuzana majimbo yatakayoendelea kuthibitishwa na CCM pamoja na UKAWA
No comments:
Post a Comment