Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Akiwa akiongea na Waandishi wa Habri kuhusu Benki hiyo Kumzawadia Mteja bora wa Huduma ya RAHISI.
Access Bank Imemzawadia Mteja Riad Khalid Hassan Mara baada ya Kuibuka Mteaja Bora wa Huduma ya Rahisi Itolewayo na Benki Hiyo.Mteja huyo ndiye aliyefanya Mihamala Mingi zaidi Kupitia huduma ya Rahisi Tangu Ilipozinduliwa Miezi Michache Iliyopita.Huduma Hiyo Inamwezesha Mteja Kupata Huduma Zote za Ki Benki Mahali Popote kwa kutumia Simu ya Mkononi na Bure Kabisa.Mteja wa Huduma ya Rahisi anaweza Kupata huduma ya kuweka na kutoa Fedha ,Kulipia Huduma Mbalimbali kupitia Simu yake ya Mkononi.
Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Amewaomba wananchi wengi zaidi kujiunga na Huduma Hiyo kwa lengo la Kurahisisha Maisha yao ya Kila Huduma ya RAHISI".
inawawezesha Wateja wa Access Benki kupata huduma Kwanjia ya Simu ya Mkononi wateja kufanya mihamala Popote na bila malipo yoyote zaidi alisema wateja wa AccessBank wajiandae kwa kuwa Benki hiyo inakuja na Huduma Nyingine mpya hivi karibuni .
Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Akimkabidhi zawadi mteja Bora wa Huduma ya RAHISI Bw Riad Khalid Hassan
Mshindi huyo Bw Riad Khalid Hassan Ameishukuru Benki hiyo,Akielezea Zaidi Amesema huhuma hiyo imemwezesha Kurahisisha Maisha yake kwa kuwa amewezekutumia huduma hiyo pia kuendelea na Majukumu yake ya Kila siku,Amewashauri wa Wananchi wengine Wajiunge na Huduma Hiyo itolewayo na AccessBank kwajili ya Maisha yao ya Kila siku
Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Katika Picha ya Pamoja na mteja Bora wa Huduma ya RAHISI Bw Riad Khalid Hassan Pamoja wa Maofisa Masoko wa Benki hiyo
No comments:
Post a Comment