Msanii
wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu
makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu
mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.
Mzee Chiro akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
No comments:
Post a Comment