21 June 2015

Floyd Mayweather amchagua huyu, Game yake ya mwisho

 
Mashabiki wengi wa ndondi duniani bado wanahamu ya kutaka kujua je ni mwanamasumbwi gani atapambana na mkali wa mchezo huo kutoka marekani Floyd Mayweather ambapo hilo ndilo litakua pambano la mwisho kwa Floyd mayweather kwani baada ya hapo anastaafu rasmi kucheza mchezo huo.
Floyd Maywether pambano lililopita alimtwanga Mphilipino Manny Pacquayo ambapo baada ya hapo tetesi zilizagaa kwamba wawili hao wanaweza kurudiana kwenye mpambano wa mwisho wa Mayweather

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname