22 June 2015

DIAMOND PLATINUMS AMTUKANA ALI KIBA KWENYE MTANDAO...



 

1 comment:

  1. ni upuuzi kwa sasa kusikia eti Ali Kiba anaingia katika bifu na Diamond, kwa sasa huyu myu sio saizi tena. Kiba anatakiwa ajipange katika kutafuta mafanikio yake binafsi na sio kujibizana na Diamond ambaye amemzidi kwa mbali sanaaa, kwani inaweza kumuumiza kisaikolojia. Ajipange upya aachane na mambo ya kinazi yasiyokuwa na maslahi na yeye. Huu ni ushauri wa bure kabisa.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname