Ligi ya
Mabingwa barani Ulaya msimu wa 2014/2015 inafikia tamati Jumamosi hii
kwa pambano la fainali baina ya Barcelona ambao ni mabingwa wa Spain
watakaomenyanana Juventus ambao ni mabingwa wa Italia pambano
litakalopigwa katika dimba Olmpico jijini Berlin Ujerumani.
Timu zote mbili hizi zinatafuta ubingwa wa tatu msimu huu kukamilisha makombe matatu (treble) katika msimu mmoja.
Katika picha hapa chini Wachezaji wa timu hizo wakiwasili Ujerumani
Neymar akiondoka uwanja wa ndege
Kipa wa Juventus Buffon akiwapungia mashabiki hotelini
Carlos Tevez wa Juventus
Massimiliano Allegri kocha wa Juventus akiwasili
Mabus yakasubiri wachezaji wa Barca na Juve uwanja wa ndege wa Berlin
No comments:
Post a Comment