Lowassa,
akipokea fomu za wadhamini ambazo tayari zimejazwa na wana CCM wilaya
ya Ilemele, kutoka kwa Katibu wa CCM wilayani humo, , Loti Olele Mtui Lazaro
|
Mmoja wa madereva Texi, akionyesha bango la kumuunga mkon o Lowassa, katika safari ya matumaini 2015
|
Lowassa,
akipokea fomu zilizojazwa na wadhamini ambao ni wanachama wa CCM,
kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza, Elias
Mpanda
|
Mwanachama mkongwe wa CCM, Mzee Rutaraka, akitoa salamu zake kwa niaba ya wazee jijini Mwanza
|
Watoto
wa Chipukizi kutoka Chama Cha Mapinduzi, jijini Mwanza, Marie Kighei
Joseph, (wapili kulia) na Sarafina Magabe, wakimkabidhi zawadi ya maua
ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa
Monduli, Edward Lowasa, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwnza,
Ijumaa Juni 5, 2015, ili kuomba wadhamini baada ya kuchukua fomu za
kuomba kuwania urais wa Tanzania kuputia CCM
|
Wananchi
waliokuwa na kiu ya kumuona Lowassa, walilazimika kupanda juu ya viti
kutokana na msongamano wa watu waliofurika kwenye mitaa jirani na odfisi
za CCM wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Ijumaa Juni 5, 2015.
|
Wasafiri
na wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, waliacha shughuli zao ili
walau wapate kumuona Lowassa, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
Mwnaza Ijumaa Juni 5, 2015, tayari kutafuta wadhamini.
|
Lowassa, akionyesha fomu ambayo tayari imejazwa na wadhamini wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza
|
No comments:
Post a Comment