Shilole
Shilole
a.k.a Shishi bybee sasa anaweza kupata usingizi mnono bila mawazo,
sababu lile sakata la kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa wakati
akitumbuiza nchini Ubelgiji mwezi uliopita hatimaye limemalizika vizuri.
Sakata
hilo ambalo lilifika hadi bungeni ambapo Naibu Waziri wa Habari Vijana
Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alisema serikali ililiagiza Baraza la
Sanaa la Taifa, BASATA kufanya naye mahojiano ili serikali iweze
kuchukua hatua.
Muimabji huyo wa ‘Nakomaa na JIji’ ameelezea furaha yake baada ya kusamehewa na BASATA alipoenda kutoa maelezo.
No comments:
Post a Comment