23 June 2015

AUNT EZEKEL AFUNGUKA KUHUSU MTOTO NWAKE KUWA MWIGIZAJI

 
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama yeye.

Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi yake ya ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.  


BOFYA KUMSIKILIZA AUNT EZEKEL

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname