Senetor wa Nairobi anayejulikana kama Mike Sonko ameingia tena kwenye
headlines na sasa ni juu ya ulinzi alionao. Katika siku za karibu
nilikuletea picha ya gari lake aina ya V8 lenye rangi ya gold lakin leo
acha nikuletee hizi picha za ulinzi wake ulivyo. Siku tatu za hivi
karibuni Senetor huyo alihudhuria kwenye moja ya msiba jijini Nairobi
lakin alipotoa utafikiri ni rais ametua kutoka na idadi ya walinzi
alionao.
mike sonko Siku hiyo alikuja na gari kama mbili moja ikiwa imembebe
yeye na nyingin ambayo ndio V8 ya gold nyingine ilikuwa Hummer nyeusi
ilikuwa imemebaba walinzi wake walikuwa na silaha kama wanajeshi
wanaokwenda vitani. Kweli pesa sabauni ya roho kama unataka kufa mapema
jaribu kumgusa Senetor uone.
No comments:
Post a Comment