
Mziwanda amefunguka kuwa watu
wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa
kichapo na mpenzi wake , Zuwena Mohamed
‘ Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa
hivyo ni mahaba .
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi
karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa
zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole
pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa
‘ live’ bali ni kupigwa kimahaba .
“ Jamani kupigwa wanakozungumzia watu
sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba ,
wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga
washindwe, watuache kwa raha zetu , ” alisema
Shilole.
No comments:
Post a Comment