25 October 2014

TUNDA MAN AFANYIWA MBAYA AFRIKA KUSINI, NUSURA AKIMBIZWE HOSPITALI

Show ya Tunda Man nchini Africa kusini jumamosi iliyopita iliharibiwa baada ya mtu mmoja kupuliza pepper spray ama pili pili iliyo katika mfumo wa kupuliza kwenye chupa za Perfume, kwa mujibu wa Tunda Man anadai wakati tukio hilo linatokea yeye alikua anatumbuiza ndani ya Club moja Capetown ghafla yeye na mashabiki wakaanza kujiskia vibaya wengine walikua wanaanguka kwa kuishiwa pumzi na wengine wakaanza kukanyagana ili kuwahi kutoka nje hali iliyosababisha majeraha kwa wengine ndipo ikabidi SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname