
Mapya yanazidi kuibuka kuhusu ushindani wa Diamond na Ali Kiba amba ulianzia katika hitimisho la tamasha la Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar. Mashabiki wa wasanii hawa wawili wanavutana huku kila mmoja akisema
mwenzake ana kipaji na anamfunika mwenzake. Inasemekana kua kuna baadhi ya mashabiki walikodiwa kwa ajili ya kumzomea Diamond wakati akitoa burudani siku ya Fiesta na hilo lilithibitishwa na Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond.
Tumepata bahati ya kufanya mahojiano na Q Chief na haya ndio mahojiano yetu na Q Chief
Mwandishi : kwa sasa katika mziki wa BongoFlava kumekua kuna fitini nyingi wakati mwingine wasanii kwa wasanii wanachonganishwa na mwisho wa siku unakua ugomvi, kwa mfano sasa hivi bifu la Ali Kiba na Diamond. Je Q Chie unalizungumziaje hili?BOFYA HAPA>>>
No comments:
Post a Comment