22 October 2014

BAADA YA KUANDAMWA NA MISUKOSUKO...HATIMAYE JOKATE KIDOTI AMPA SAPOTI DIAMOND PLATUNUMZ

Wakati akiandamwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuvaa sare za jeshi hilo bila ruhusa maalumu, msanii wa muziki wa kipya nchini, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond amepigiwa chapuo na mtangazaji wa kituo cha Channel O, Jokate Mwegelo.
Mwegelo amewataka Watanzania kumpigia kura Diamond katika shindano la tuzo ya video bora Afrika inayofanyika nchini Afrika Kusini.INAENDELEA HAPA>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname