Mtoto anayejulikana kwa jina la Paulina (14) alitundikwa mimba na mawanafunzi mwenzake. Akizungumza kwa huzuni huku akilia, mtoto huyo alisema kwa sasa haendi shuleni kutokana na kuwa na ujauzito wa miezi miwili alioupata kwa kijana aliyemtaja kwa jina moja la Paulo mkazi wa Mbweni ambaye ni mwanafunzi wa sekondari. Alisema:
Mtoto mmoja aliyejulikana kwa jina la Paulina (14) mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Boko, jijini Dar amekatisha masomo kutokana na kupata ujauzito.
“Paulo alikuwa rafiki wa kaka yangu na alikuwa akija sana nyumbani kwetu, tukawa tumezoeana sana na siku moja akanishawishi twende kwao, tukaenda na huko ndiyo tukafanya mapenzi baada ya kuniambia atanioa nikimaliza shule.
No comments:
Post a Comment