JOKATE NAE AINGIA KWENYE BONGO FLEVA RASMI, MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA
Jokate Mwengelo juzikati aliamua kujizamisha rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kupanda kwa mara ya kwanza katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, akiwa na madensa wake.
Mwanamitindomaarufu ambaye aliwika na lebo ya Kidoti, Jokate Mwengelo.SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment