HIVI NDIVYO JOKATE ANAVYO WAIGA MASTAR WA NJE KATIKA MITINDO YA NYWELE...CHEKI HAPA
Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT
kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na wakali wa
nje...big up!!!...Cheki picha hizi ujionee ni kwajinsigani anavyokwenda
nao kwenye upande wa NYWELE!!!
No comments:
Post a Comment