VIDEO YA KIPI SIJASIKIA: NISHEEDAH NYINGINE HAPA MJINI..SCENE KIBAO ZAHUSIKA!!
Tazama baadhi ya picha za scene mabalimbali katika
uchukuaji wa video ya wimbo unaotamba kwasasa, KIPI SIJASIKIA wa msanii
mkongwe wa Bongo Flava, PROF JAY aliomshilikisa bwana ALMASI....Video ya
wimbo huu inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni
No comments:
Post a Comment