Ray C alisema amejikuta akipatwa na dhamira hiyo kutokana na msanii huyo, licha ya yeye mwenyewe na mama yake kumpigia simu za kutaka amsamehe, lakini anakana mbele za watu anapoulizwa, tena hadi redioni.
alisema msanii huyo ambaye hivi sasa anaendesha vita dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya.
Alipoulizwa kuhusu kauli hiyo, Chid Benz mwenye tuzo tano za Kili, licha ya kukiri kumpigia Ray C simu pamoja na mama yake, alikataa kupiga kwa ajili ya kuomba msamaha kwa sababu hakumpiga msichana huyo mkongwe katika Bongo Fleva.inaendelea hapa>>
No comments:
Post a Comment