Moja
ya majukwaa ya uwanja mpya wa soka JKT Oljoro unaoendelea kujengwa huko
Arusha. Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 10,000. Lakini je
wakienda hao akina Yanga na Simba watu hao kumi elf si watakuwa mara
mbili yake na usalama utakuwepo kweli?. Lakini chako ni chako ingawa ni
kiduchu hongera wafunga buti mwanzo mzuri.
(Picha kwa hisani ya Mwanaspoti.)

No comments:
Post a Comment