JAMAA APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Baada ya madoctor wa bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliye fumaniwa huko mwanza hatimaye wamefankiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizizaidi mke wa mtu sumu
No comments:
Post a Comment