22 July 2014

BAADA YA SHILOLE ...HATIMAYE JACK WOLPER NAYE AAMUA KUMWONYESHA SERENGETI BOY WAKE




Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’
“Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii. Nakupenda
sana Wolper Gambe wangu coz i get everything from you.I love you kamdoli kangu, kichuna changu,” hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia Wolper.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname