07 March 2014

SAMAHANI KWA PICHA HIZI...MAUAJI YA KINYAMA YAENEDELEA KUIANDAMA KAHAMA...!TAZAMA UKATILI HUU HAPA

Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga....

CHEKI PICHA HIZO HAPA CHINI...
Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname