Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko
nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.
Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani
(sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano ya mapenzi na huyu
msichana waa kazi.
Juzi usiku kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake ila sikumkuta
ikabidi nitege mingo ili nijue huyu msichana kaenda wapi, baada ya kama
lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwa baba unafunguliwa na yule
msichana wa kazi kakatoka na kwenda chumbani kwake.
Niliumia sana kuona kile kitendo si kwa wivu wa mapenzi bali kwa kile
kitendo alichofanya baba na ukizingatia anamke wa ndoa (mama yangu).
Wadau naombeni busara zenu kuwa anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?
No comments:
Post a Comment