Daktari akiwa amezamisha kidole chake
kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda
baada ya tukio hilo.
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, kwa taarifa zisizo rasmi zinasema Wanaodhaniwa ni Vijana wa CCM wamchoma kisu
cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji
cha Tagamenda siku moja tu baada ya Mama Mzazi wa Kijana huyo ambaye
alikuwa Mjumbe wa Serikali ya Kijiji hicho kwa tiketi ya CCM kuamua
kuhamia CHADEMA kwa madai ya kuchoshwa na siasa zisizokuwa na mwelekeo
za Chama hicho!!
No comments:
Post a Comment