10 March 2014

MCHEKI STEVE ANASWA AKIPIGA MSOSI WA MAANA...!!!!!


Steve Nyerere akigonga menyu.

MWENYEKITI wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amenaswa akipiga msosi wa maana.


Katika pitapita za hapa na pale, kamera yetu ilimnasa Steve maeneo ya Sinza katika hoteli maarufu ya Shamool akila msosi wa maana na alipohojiwa alidai kuwa ameshazoea kula kwenye hoteli zenye hadhi kwani anaogopa uswahilini atanaswa na mapaparazi.

“Unajua mtu ukishakuwa maarufu unaogopa hata kula kwa mama lishe kwa sababu waandishi wakikunasa wanaenda kukuandika tu hata mtaani watu wanabaki wakikushangaa ndiyo maana nimekuja kula hapa,”alisema Steve.
Steve baada ya kunaswa na paparazi wetu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname