JIONEE USAFIRI MPYA WA MSANII INSPECTAH HAROUN "BABU"...!
Inspector Haroon ambae ni msanii wa bongo fleva kwa muda mrefu toka time hiyo yuko na
mshkaji wake Luteni Kalama kwenye kundi la Gangwe Mobb, ameshea picha
ya gari analotumia sasa hivi na kumshukuru Mwenyenzi Mungu.
No comments:
Post a Comment