09 March 2014

HUYU NDIYE MGANGA WA KIENYEJI ALIYEALIKWA BUNGENI KUSHUHUDIA BUNGE LA KATIBA


Na Mwandishi Wetu-Dodoma
Yule mganga mashuhuri nchini Dk Kamdege toka Mkoani Tabora hatimae amealikwa Mkoani Dodoma kuhushuhudia mchakato mzima wa Bunge la Katiba linaloendelea Mkoaini humo 
Kwa mujibu wa mtandao wa Bossngasa ulisema Mganga huyo aliyejizolea sifa kemkem nchini na nje ya nchi kutokana na kipaji chake cha kutibu watu kutumia miti shamba huku akiponya kila aina ya magonjwa sugu ikiwemo kupuinguza makali ya Ugonjwa hatari wa Ukimwi.


Akiongea na mwandishi wa blog hiyo yenye makao yake makuu Mkoani humo Dk Kamdege alisema" Nimealikwa Dodoma kushuhudia mchakato huo wa Katiba mpya unaoendelea lakini huenda nikaenda wiki ijayo mwishoni mwa wiki kutokana na ubusy niliokuwa nao huku kwangu wa kuhudumia wananchi.
Dokta huyo ambae nyumbani kwake kumekuwa kukifurika watu kama sherehe ambao hufika kwa ajili ya kupata tiba anazozitoa na mamilioni ya watanzania na raia toka nje za nchi wamepona kutumia dawa zake huku mastaa mbalimbali wa sanaa na muziki nchini wakimtumia mganga huyo kufanikisha mambo yao.
Mganga huyo ambae kwa sasa amekuwa akipokea wagonjwa zaidi ya elfu mbili kwa siku baada ya tiba zake kuponya wengi na anatibu magonjwa kama kupooza mikono na miguu mgongo pamoja na mgonjwa mengi kama kisukari nk.
Aidha Dokta huyo aliwasisitiza watanzania wote kutumia nafasi hiyo kumtafuta kwa ajili ya kutatuliwa mambo yao na waliotayari wamcheki kupitia simu namba 0788-844490 na hata kawa watu wako nje ya nchi ama mbali ambao hawana uwezo wa kumfikia atawafanyia mambo yao huko huko hata kama wakiwa nje ya nchi.
Mganga huyo anasafisha nyota ya mtu ambayo ilikuwa imeibwa na wajanja, anatoa mfanikio ya kimaifa kwa wale wanaochezewa na wachawi kwani wako ambao wanajituma kazi usiku na mchana kufanyakazi lakini hawapati mafanikio hivyo yeye anaweka sawa hayo mambo kutumia miti shamba tu na si uchawi.
Aidha kwa wanaotaka kupanda vyeo, kuwa na maisha bora na yenye ulinzi wa kutochezewa na wachawi hapo kwake ni kazi ndogo sana kukuza bishara zako kama kila siku haikuwi.
 Na amebakiza miezi miwili kabla ya kuelekea nchi za China na Japani.
" Xtreme Deejayz kesho ndio kesho Club Maisha Dar usikose babu"

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname