09 March 2014

HATA KAMA UKO NDANI YA GARI, LAKINI MIKAO MINGINE HII NI UTATA MTUPU, MTU AKIOMBA LIFT JEE.

http://theclicktz.com/ Jamani msione magari mengine yanakuwa na tintedi huko ndani ni hatari tupu, mambo kama haya ni kawaidi kwenye magari ya tintedi , unakuta mtu kakaa kama anataka kujisaidia kavaa nguo kama
hajavaa vile yani ni shida , sasa kwamfano umekutana na baba mkwe njiani inabidi umpe lift itakuaje mana hapo hata kanga labda huna utamuweka wapi..?? au umempa kijana lift hapo, si unajua tena vijana wa siku hizi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname