12 March 2014

Angalia Picha za majengo yaliyoporomoka New York muda mfupi uliopita.

ff
Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali.Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto.

Capture

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname