Nameless kutoka nchini kenya ni mmoja
kati wa artist kutoka nje ya nchi katika kilele cha tamasha kubwa kabisa
nyanda za juu kusini MTIKISIKO........maliza
maliza...........aaaaaaayaaaaaaaaaaaa linalotarajiwa kufanyika katika
uwanja wa samora manispaa ya iringa tarehe 30/11/2013 kuanzia saa kumi
jioni hadi majogooo.
Hapa akiwa na mkewe wahu na kwa taarifa yako tu hii ni moja na couple bora kabisa afrika mashariki

No comments:
Post a Comment