07 November 2013

KATIKA MAPENZI WANAWAKE HUONGOZA KWA UONGO KULIKO WANAUME.SOMA KISA HIKI CHA UKWELI HAPA.

Urafiki wa Wanawake: Usiku mmoja Mwanamke hakurudi nyumbani. Asubuhi ilipofika alimueleza mume wake kwamba alikuwa amelala kwa rafiki yake. Mume akaamua kuwapigia marafiki kumi wa karibu wa mke wake. Na majibu ni kwamba hakukuwa na hata mmoja aliyefahamu juu ya hilo.


Urafiki wa Wanaume: Usiku mmoja Mwanaume hakurudi nyumbani. Asubuhi ilipofika alimueleza mke wake kwamba alikwa amelala kwa rafiki yake. Mke akaamua kuwapigia simu marafiki kumi wa karibu wa mume wake, wanane kati ya hao kumi walisema kweli alilala kwao, na wawili waliobaki walisema kuwa bado wapo nae mpaka muda huo.

Wanaume hupenda kuungana mkono minongoni mwao. Unadhani ni kwanini...?
  
Tafakari kwa makini utaelewa maana, ukielewa nieleze kwa faida ya wengine pia..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname