07 November 2013

Hizi NDIZO picha zilizovuja zikimuonyesha Will Smith kutoka nje ya ndoa NA KUIBUKA SKENDO KUBWA...TAZAMA HAPA

Story inayosambaa kwenye mitandao ya udaku huko Marekani hivi sasa ni kuhusu skendo inayomuhusu star Will Smith kwamba inasemekana ame-cheat kwenye ndoa yake na mke wake Jada Pinket.
 smith

Habari zinasema kwamba Will amecheza faulo nje ya ndoa na mwanamke mwenye miaka 23 ambaye wamefanya nae kazi kwenye romantic comedy drama inaitwa Focus.
Picha hizi zinasambaa kwenye internet zikimuonyesha Will Smith akiwa kwenye crazy moments na Margot Robbie ambaye ni co-star kwenye Focus ambapo Will Smith ndiyo star.
  Baada ya Jada kuonekana bila pete yake ya ndoa, ndiyo story zikaanza kwamba wawili hao wameshagombana kwasababu ya hii skendo.


Baadhi ya mitandao imetoa udadisi wao kwamba picha hizi zinaweza kuwa sehemu ya scenes au behind the scenes ya Focus ambayo ina mapenzi na vichekesho ndani yake. Huenda zikiwa moja ya moment ya uchuaji picha wa drama hiyo au ni kweli bwana Smith ametoka nje ya ndoa yake.

o-MARGOT-ROBBIE-FOCUS-facebook

Juu ni Margot Robbie na hizo chini ndiyo picha zilizovuja akiwa na Will Smith
0 09 617784-star-magazine
k

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname