07 November 2013

PICHA:ONYO KAMA HUNA UJASIRI USIANGALIE, HII NI KEKI ILIYOTENGENEZA SIKU YA NDOA YAO INAYOFANANA NA SURA ZAO!!!

Hili ni jambo la Kustaajabisha KabiSa baada ya Wawili hawa Kuamua Kutengeneza Keki inayo fanana Na Sura zao Siku ya Ndoa Yao. Keki hii imetumi zaidi Ya masaa 40 mpaka kukamilika Kutengenezwa. Maana yeke ni kwamba Wawili hao Wameapizana kwamba Kifo Ndio kiwatengenishe na si kitu kingine! 


                           Until Death Do Us Apart

 Wawili hawa wameamua Kutengeneza Keki Hii kutokana na Upenzi wao wa Filamu za kizombi, Licha ya upenzi Mrs Sidesef ambaye ni mke wa jama ni Muaandaji wa filamu na Mmiliki wa chuo cha Sanaa ua uigizaji


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname