Mwimbaji huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba akiwa hajavaa…
Mojawapo ya picha alizopiga Rihanna kwa ajili ya jarida la GQ la Uingereza.

nusu utupu tangu juu hadi chini.
Mwimbaji huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba akiwa hajavaa chochote cha maana tangu juu ukiachilia mbali kichwa chake ambacho kimezingirwa na kufunikwa na majoka.

Toleo hilo litakuwa mitaani tarehe 31 Oktoba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment