23 October 2013

Picha, Diamond Kaomba Mashabiki Watume Picha Wakiwa Kwenye Pozi Kama Lake, Ziko Hapa.

 Kama unafatilia habari za mastaa wa Marekani utafahamu kuwa hii issue alishawahi kufanya rapper Nicki Minaj wa Young Money, Aliomba mashabiki watume picha wakiwa wamevalia mavazi kama yake na pozi zaki Nicki Minaj, Well Bongo Super Star Diamond amefanya yake kwenye instagram.
Picha zaidi ziko hapa.





No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname