KWELI HAYA NDO MAAJABU YA DUNIA....HII NDO SHULE INAYOTOA Mafunzo ya Ngono
Hii
ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya
ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia
mwenza kwa mbinu mbalimbali.
Kwenye
kila darasa katika kila shule mara zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye
huwa hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea
kufunguliwa kwa milango ya chuo hicho kilichopo Austria kwenye jiji la
Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.
Shule hiyo hutoza £1,400 kwa temu moja, huku kikitoa mafunzo hayo kwa njia ya nadhalia na vitendo.
Wanafunzi wa shule hiyo huchanganywa na kuishi kwenye hostel moja ambapo hushauliwa wasaidiane kufanya ‘assignments’ zao.
Mkuu
wa shule hiyo - Ylva-Maria Thompson - mtu ambaye huwezi mshangaa, ni
nyota ya filamu za ngono na ni mtangazaji wa vipindi vya ngono kwenye
TV.
Mwanamke
huyo mwenye miaka 51 amesema: ‘Nia ni kuwafanya watu wawe wapenzi
wazuri, kufahamu aina mbalimbali za mitindo ya kufanya ngono, namna ya
kumshughulikia mwenza wako, kuzifahamu sehemu nyeti za mwili na
kuwafundisha watu namna nzuri za ushiriki wa tendo la ngono.
Licha
ya hivyo shule hiyo imekuwa ikipata vikwazo kadhaa, ambapo matangazo ya
TV yanayoonyesha watu wakifanya ngono yamepigwa marufuku, huku wengi
wakisema shule hiyo ipo kwa ajili ya kufanya biashara ya ngono.
Kuna yeyote anayependa kwenda kusoma shule hii japo kwa mwaka mmoja...?